• HABARI MPYA

  Friday, July 14, 2023

  MWINYI ZAHERA NDIYE KOCHA MPYA WA COASTAL UNION


  ALIYEWAHI kuwa kocha wa Yanga SC na Polisi Tanzania, Mkongo Mwinyi Zahera leo ametambulishwa kuwa Kocha mpya Mkuu wa Coastal Unión ya Tanga inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWINYI ZAHERA NDIYE KOCHA MPYA WA COASTAL UNION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top