• HABARI MPYA

  Friday, July 21, 2023

  HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZILIZONDULIWA MLIMA KILIMANJARO


  MABEKI wa Simba SC kutoka kushoto Mcameroon Che Fondoh Malone Junior, mzawa Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ na Mkongo Henock Inonga Baka ‘Varane’ wakiwa wamevaa jezi mpya za nyumbani za timu hiyo kuelekea msimu mpya ambazo zimezinduliwa leo kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZILIZONDULIWA MLIMA KILIMANJARO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top