• HABARI MPYA

  Tuesday, July 11, 2023

  TFF KUENDESHA SEMINA YA MAFUNZO YA UHAMISHO FIFA-CONNECT


  SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) limepanga kuendesha Semina ya Kukumbusha Usajili na Uhamisho katika mtandao wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) ambayo itafanyika Julai 13 Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF KUENDESHA SEMINA YA MAFUNZO YA UHAMISHO FIFA-CONNECT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top