KLABU ya Yanga imemtambulisha beki wa kati, Gift Fred kutoka SC Villa ya kwao, Uganda akiwa mchezaji wa pili tu mpya, baada ya beki wa kushoto, mzawa Nickson Kibabage.
YANGA SC YASAJILI BEKI WA KATI MGANDA KUTOKA SC VILLA
KLABU ya Yanga imemtambulisha beki wa kati, Gift Fred kutoka SC Villa ya kwao, Uganda akiwa mchezaji wa pili tu mpya, baada ya beki wa kushoto, mzawa Nickson Kibabage.
0 comments:
Post a Comment