• HABARI MPYA

  Saturday, July 29, 2023

  YANGA YAMUUZA BANGALA KWA AZAM FC, ASAINI MIAKA MIWILI  KIUNGO wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Yanick Litombo Bangala amejiunga na klabu ya Azam FC kutoka Yanga, zote za Dar es Salaam.
  Taarifa ya Azam FC leo imesema; “Tumefikia makubaliano na klabu ya Yanga ya kumnunua, mchezaji kiraka, Bangala na amesaini mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo vya afya,”.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAMUUZA BANGALA KWA AZAM FC, ASAINI MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top