• HABARI MPYA

  Tuesday, July 25, 2023

  LUIS MIQUISSONE ALIVYOWASILI KAMBINI SIMBA SC UTURUKI


  KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Msumbiji, Luis José Miquissone baada ya kuwasili kwenye kambi ya Simba mjini Ankara nchini Uturuki kujiandaa na msimu unaotarajiwa kuanza wiki ijayo.
  Luis José Miquissone amesaini kurejea Simba baada ya miaka miwili tangu auzwe Al Ahly ya Misri.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUIS MIQUISSONE ALIVYOWASILI KAMBINI SIMBA SC UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top