• HABARI MPYA

  Tuesday, July 11, 2023

  FEI TOTO SIKU YA KWANZA MAZOEZI YA AZAM TUNISIA


  KIUNGO mpya, Feisal Salum ‘Fei Toto’ akiwa katika mazoezi ya kwanza ya Azam FC mjini Sousse nchini Tunisia leo ambako wameweka kambi ya wiki tatu kuanzia jana kujiandaa na msimu mpya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FEI TOTO SIKU YA KWANZA MAZOEZI YA AZAM TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top