Mwanzo > YANGA > WIKI YA MWANANCHI NI JULAI 22 BENJAMÍN MKAPA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA WIKI YA MWANANCHI NI JULAI 22 BENJAMÍN MKAPA KLABU ya Yanga jana imesema Tamasha la Wiki ya Mwananchi litafanyika Jumamosi ya Julai 22 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam – hiyo ni simu ambayo Wananchi watapata fursa ya kukiona kikosi chao kizima kipya kuelekea msimu wa 2022 – 2023. Wednesday, July 12, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment