KOCHA Mmarekani mzaliwa wa Somalia, Abdihamid Moalin amejiunga na klabu ya KMC ya Kinondoni inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
Abdihamid Moalin aliyewahi kufundisha Azam FC anachukua nafasi ya kocha mzawa, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ aliyeichukua timu mwishoni mwa msimu baada ya kufukuzwa Mnyarwanda, Thierry Hitimana na akaisaidia kubaki Ligi Kuu.
0 comments:
Post a Comment