• HABARI MPYA

  Sunday, July 30, 2023

  PYRAMIDS YAMTAMBULISHA RASMI MAYELE MCHEZAJI WAKE MPYA


  KLABU ya Pyramids ya Misri imemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fiston Kalaa Mayele kuwa mchezaji wake mpya kutoka Yamga SC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PYRAMIDS YAMTAMBULISHA RASMI MAYELE MCHEZAJI WAKE MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top