• HABARI MPYA

  Saturday, July 22, 2023

  YANGA YAICHAPA KAIZER CHIEFS 1-0 DAR BAO PEKEE LA MUSONDA


  BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia, Kennedy Musonda dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAICHAPA KAIZER CHIEFS 1-0 DAR BAO PEKEE LA MUSONDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top