KUELEKEA Kilele cha Wiki ya Mwananchi kesho, uongozi wa klabu ya Yanga leo umetembelea vituo viwili vya watoto yatima Buguruni na Vingunguti na kutoa misaada kadhaa ikiwemo Televisheni.
PICHA: YANGA WALIVYOTOA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA BUGURUNI NA VINGUNGUTI LEO
0 comments:
Post a Comment