• HABARI MPYA

  Wednesday, July 12, 2023

  YANGA SC WALIVYOANZA KUJIFUA GYM LEO KAMBINI KIGAMBONI


  BEKI mpya wa Yanga SC, Gift Fred kutoka SC Villa ya kwao, Uganda akiwa kwenye mazoezi ya kwanza ya timu yake huko Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya.
  PICHA: WACHEZAJI YANGA SC WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA GYM LEO KIGAMBONI 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOANZA KUJIFUA GYM LEO KAMBINI KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top