• HABARI MPYA

  Friday, July 21, 2023

  JEZI ZA SIMBA ZA WAKUU WA NCHI KILELENI MLIMA KILIMANJARO


  JEZI mpya tano za Simba SC zilizozinduliwa leo kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro zikiwa na majina ya viongozi wakuu wanne wa nchi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Makamu wake, Dk. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dk. Tukia Ackson na Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohamed ‘Mo Dewji’.
  PICHA: UZINDUZI WA JEZI ZA SIMBA MLIMA KILIMANJARO LEO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JEZI ZA SIMBA ZA WAKUU WA NCHI KILELENI MLIMA KILIMANJARO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top