• HABARI MPYA

  Thursday, July 13, 2023

  AZAM FC KESHO WANA MECHI YA KIRAFIKI NA AL HILAL YA SUDAN


  KLABU ya Azam FC kesho itacheza mechi ya kwanza ya kirafiki katika kambi yake Tunisia kwa kumenyana na Al Hilal ya Sudan Uwanja wa Olimpiki Jijini Rades kuanzia Saa 1:00 usiku kwa Saa za Tanzania.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC KESHO WANA MECHI YA KIRAFIKI NA AL HILAL YA SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top