• HABARI MPYA

  Wednesday, July 19, 2023

  ‘SIMBA ONE’ ALLY SALUM KATIKA UBORA WAKE MAZOEZINI UTURUKI


  KIPA namba moja wa Simba kwa sasa, Ally Salum akidaka mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo katika kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya mjini Ankara nchini Uturuki. 
  Kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ni majeruhi na zaidi ya Ally Salum kipa mwingine ambaye yupo kambini Uturuki ni Ally Ferouz ambao wote ni matunda ya timu za vijana.
  Simba ina mpango wa kusajili kipa mwingine mzoefu baada ya kuachana na aliyekuwa kipa namba mbili, Beno Kakolanya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ‘SIMBA ONE’ ALLY SALUM KATIKA UBORA WAKE MAZOEZINI UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top