• HABARI MPYA

  Wednesday, July 19, 2023

  KOCHA MPYA YANGA AJITOKEZA KWENYE KUCHANGIA DAMU MLOGANZILA


  RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said (kushoto) na Kocha Mkuu, Muargentina Miguel Angel Gamondi wamewatembelea wapenzi wa klabu hiyo waliojitokeza kuchangia damu katika hospitali ya Mloganzila Jijini Dar es Salaam kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi Jumamosi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA YANGA AJITOKEZA KWENYE KUCHANGIA DAMU MLOGANZILA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top