• HABARI MPYA

  Tuesday, July 25, 2023

  SI SOKA TU, HATA KWENYE MASUMBWI CHAMA NI ‘MBAYA’


  KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia akiwa kwenye kambi ya klabu yake, Simba nchini Uturuki ameonyesha kipaji chake kingine zaidi ya soka ni uwezo wa kucheza ndondi.
  Clatous Chama ameposti vídeo akiwa GYM mjini Ankara nchini Uturuki ambako Simba imeweka kambi alifanya mazoezi ya ndondi kana kwamba ni bondia mzoefu wa kulipwa anajiandaa na pambano.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SI SOKA TU, HATA KWENYE MASUMBWI CHAMA NI ‘MBAYA’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top