• HABARI MPYA

  Friday, July 21, 2023

  KAIZER CHIEFS WAWASILI DAR TAYARI KUIKABILI YANGA KESHO MKAPA


  KIKOSI cha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kimewasili Alfajiri ya leo kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao, Yanga SC kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi kesho jioni Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAIZER CHIEFS WAWASILI DAR TAYARI KUIKABILI YANGA KESHO MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top