WENYEJI, Tanzania wameanza vyema michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa mabinti chini ya umri wa miaka 18 baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Burundi leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Mechi nyingine ya leo, Uganda wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ethiopia hapo hapo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment