• HABARI MPYA

    Friday, July 21, 2023

    MAFUNDI WA KABUMBU CHAMA NA NGOMA MAZOEZINI SIMBA UTURUKI


    VIUNGO wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama na Mkongo Fabrice Luamba Ngoma wakiwa kwenye mazoezi ya timu hiyo kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya mjini Ankara nchini Uturuki.
    PICHA: WACHEZAJI WA SIMBA SC MAZOEZINI UTURUKI
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAFUNDI WA KABUMBU CHAMA NA NGOMA MAZOEZINI SIMBA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top