• HABARI MPYA

  Monday, July 31, 2023

  MSHAMBULIAJI MPYA YANGA AANZIA KUJIFUA GYM KIGAMBONI


  MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Hafiz Konkoni akiwa mazoezini kwenye kambi ya timu hiyo, Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya baada ya kusajiliwa mwishoni mwa wiki kutoka Bechem United ya kwao, Ghana.
  PICHA: HAFIZ KONKONI AKIJIFUA GYM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI MPYA YANGA AANZIA KUJIFUA GYM KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top