KIUNGO wa Kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho akiwa kwenye mazoezi ya Yanga leo Uwanja wa Avic Town, eneo la Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya.
Yanga inatarajiwa kuuzindua msimu wake mpya kwa kumenyana na vigogo wa Afrika Kusini, Kaizer Chiefs Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment