• HABARI MPYA

  Wednesday, July 12, 2023

  KITAYOSCE YAFUNGIWA KUFANYA USAJILI BAADA YA KUPANDA LIGI KUU


  KLABU ya Kitayosce ya Tabora iliyopanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imefungiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa kosa la kutomlipa Kocha Mmisri, Ahmed El Faramawy Yousef Mustafa Soliman.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KITAYOSCE YAFUNGIWA KUFANYA USAJILI BAADA YA KUPANDA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top