• HABARI MPYA

  Tuesday, July 11, 2023

  SIMBA SC HAOOO SAFARINI UTURUKI KWENDA KUWEKA KAMBI


  WACHEZAJI wa Simba SC wakiingia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mchana wa leo kwa safari ya kwenda Uturuki kuweka kambi ya wiki tatu kujiandaa na msimu mpya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC HAOOO SAFARINI UTURUKI KWENDA KUWEKA KAMBI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top