• HABARI MPYA

  Wednesday, July 19, 2023

  BEKI MTANZANIA ASAJILIWA SÚPER SPORT UNITED YA AFRIKA KUSINI


  BEKI Mtanzania, Abdulrazack Mohamed Hamza (20) amesaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na klabu ya Super Sport United ya Afrika Kusini baada ya kuachana na Namungo FC aliyojiunga nayo akitokea KMC FC kufuatia kuibukia Mbeya City mwaka 2020.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI MTANZANIA ASAJILIWA SÚPER SPORT UNITED YA AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top