• HABARI MPYA

  Monday, July 24, 2023

  SIMBA YA TISA AFRIKA, YANGA YA 18 ORODHA MPYA YA CAF


  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya viwango vya ubora wa klabu barani kwa msimu wa 2022-2023, huku Simba SC ikiwa namba tisa na wagani wao, Yanga nafasi ya 18.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YA TISA AFRIKA, YANGA YA 18 ORODHA MPYA YA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top