SHABIKI wa timu ya Yanga na Manchester United Ezekiel Mwang’onda (34) amesema ndoto yake ya miaka sabakatika kubashiri imekuwa kweli baada ya kushinda kitita cha Shilingi Milioni 234,272,830 kupitia mchezo wa Perfect12 wakampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet Tanzania.
Alisema kuwa amekuwa akibashiri kwa kipindi kirefu bilamafanikio, lakini mara baada ya kujishughulisha na kampuni yaM-Bet, amepata bahati kwa muda mfupi sana.
“Nimekuwa nikibashiri kwa takribani miaka saba sasa, hivikaribuni, nikaamua kubashiri na M-Bet kwa sababu kubwa tatu, sababu ya kwanza ni dau, ambapo unatumia sh1,000 tukubashiri mechi 12, sababu ya pili idadi ya washindi ambaowamekuwa wakishinda mara kwa mara na tatu, uharaka wakupata fedha za ushindi na huduma bora kwa washindi.
Sababu hizi tatu zimenifanya kuhamia huku na sasa nimeingianyumba ya mabingwa ambao pia ni mamilionea,” alisemaMwang’onda.
Alisema kuwa pamoja na shughuli nyingi kusimama, M-Betiliendelea kuweka mikeka ya kubashiri ikishirikisha mechimbalimbali pamoja nanchi za Amerika ya Kusini.
“Mimi mara nyingi huwa sifuatilii ligi za Amerika ya Kusini, hata hivyo sikuacha kubashiri na kuendelea kufuatilia kuwekadau na M-Bet na kushinda kiasi kikubwa cha fedha. Nina majukumu kibao, fedha hizi nilizoshinda, zitasaidia kukuzabiashara yangu na kuwekeza katika miradi mingine,” alisemaMwang’onda ambaye ni mkazi wa Kyela, mkoani Mbeya.
Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet Tanzania, Allen Mushialisema Mwang’onda ameungana na washindi wengine wa drooya Perfect12 na kuwaomba Watanzania wenye umri zaidi yamiaka 18 kuendelea kubashiri kupitia michezo yao mbalimbaliili kushinda fedha na kubadili maisha.
“Nampongeza Mwang’onda kwa ushindi huu mkubwa nakikubwa zaidi. Nawaomba vijana wenye umri kuanzia miaka 18 kubashiri na M-Bet ili kujaribu bahati yao,” alisema Mushi.
Mwisho….
Caption
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya M-Bet Tanzania, Allen Mushi akifafanua jambo.
0 comments:
Post a Comment