• HABARI MPYA

  Friday, July 21, 2023

  MAZOEZI YA KAIZER CHIEFS LEO UWANJA WA MKAPA


  WACHEZAJI na Maafisa wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika picha ya pamoja na viongozi wa Yanga baada ya mazoezi yao leo jioni Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Timu hizo zitamenyana kesho hapo hapo Uwanja wa Mkapa katika kilele cha Wiki ya Mwananchi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA KAIZER CHIEFS LEO UWANJA WA MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top