• HABARI MPYA

  Saturday, July 15, 2023

  UZINDUZI WA WIKI YA MWANANCHI ULIVYOFANA MWANZA LEO


  Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi uliofanyika viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza leo, Mbunge wa jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwaongoza mashabiki na wapenzi wa Yanga waliojisajili na kulipia kadi zao za Mwanachama/Shabiki wa Yanga kupiga picha na Makombe ambayo klabu hiyo iliyatwaa msimu uliopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UZINDUZI WA WIKI YA MWANANCHI ULIVYOFANA MWANZA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top