• HABARI MPYA

  Friday, July 14, 2023

  FIFA YAIFUTIA KITAYOSCE ADHABU YA ZUIO LA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeiondolea adhabu ya zuio la kusajili klabu ya Kitayosce iliyopanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kumalizana na Kocha Mmisri, Ahmed El Faramawy Yousef Mustafa Soliman.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA YAIFUTIA KITAYOSCE ADHABU YA ZUIO LA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top