• HABARI MPYA

  Wednesday, July 12, 2023

  BENKI YA CRDB YAANZISHA AKAUNTI MAALUM YA SIMBA SC


  KLABU ya Simba leo imetangaza kuingia ushirika na benki ya CRDB juu ambao wamewapa fursa ya kuanzisha akaunti maalum ya ‘Simba Account’ kwa ajili ya wanachama na wapenzi wa timu hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENKI YA CRDB YAANZISHA AKAUNTI MAALUM YA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top