• HABARI MPYA

  Saturday, July 15, 2023

  MZAMBIA KOCHA MPYA WA YANGA PRINCESS


  MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Andre Mtine (kulia) akimkabidhi jezi Mzambia mwenzake, kocha Haaalubono Charles baada ya kusaini mkataba wa kuwa kocha mkuu wa timu ya wanawake ya klabu hiyo, Yanga Princess.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZAMBIA KOCHA MPYA WA YANGA PRINCESS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top