• HABARI MPYA

  Wednesday, July 19, 2023

  MEYA WA KIZILCAHAMAM ATEMBELEA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI


  MEYA Süleyman Acar wa Manispaa ya Kızılcahamam, jimbo Ankara ambako Simba SC imeweka kambi, leo ametembelea mazoezi ya jioni ya timu hiyo na kukutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi, kabla ya kukabidhiwa zawadi na Nahodha John Bocco. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MEYA WA KIZILCAHAMAM ATEMBELEA MAZOEZI YA SIMBA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top