• HABARI MPYA

  Friday, July 21, 2023

  MOROCCO KOCHA MPYA GEITA GOLD, TIMU KUJIFUA RWANDA


  KLABU ya Geita Gold imemuajiri Mzanzibari, Hemed Suleiman ‘Morocco’ kuwa kocha wake mpya Mkuu akichukua nafasi ya Freddy Félix Minziro aliyehamia Tanzania Prisons ya Mbeya.
  Katika hatua nyingine, Geita Gold wametoka programu yao ya maandalizi ya msimu mpya ambayo yanahusisha ziara ya mechi za kirafiki nchini Rwanda.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOROCCO KOCHA MPYA GEITA GOLD, TIMU KUJIFUA RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top