• HABARI MPYA

  Tuesday, July 04, 2023

  BILA VIPIMO VYA AFYA HAKUNA KUCHEZA LIGI KUU MSIMU UJAO


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema mchezaji yeyote ambaye hatapima afya haturuhusiwa kucheza Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu ujao.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILA VIPIMO VYA AFYA HAKUNA KUCHEZA LIGI KUU MSIMU UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top