• HABARI MPYA

  Thursday, July 27, 2023

  KLABU YA WEST ARMENIA YASAJILI WACHEZAJI WAWILI WA TANZANIA


  KLABU ya West Armenia FC ya is an Armenia imesajili wachezaji wawili wa Tanzania kiungo Erick Edson Mwijage kutoka Kagera Sugar na mshambuliaji Yusuph Athumani Shaaban kutoka Yanga SC.
  Klabu ya mjini Yerevan inajipanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Armenia na sasa inaimarisha kikosi chake kwa kusajili nyota wapya kutoka nchi tofauti.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KLABU YA WEST ARMENIA YASAJILI WACHEZAJI WAWILI WA TANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top