• HABARI MPYA

  Thursday, July 27, 2023

  TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA MICHUANO YA MABINTI U18 CECAFA


  TANZANIA imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ethiopia katika mfululizo wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa mabinti chini ya umri wa miaka 18 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mechi nyingine ya michuano hiyo maarufu kama CECAFA Women’s U18 leo, Uganda imeichapa Zanzibar 3-0 hapo hapo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Mechi za kwanza Tanzania iliichapa Burundi 3-0 na Uganda ikaichaoa Ethiopia 1-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA MICHUANO YA MABINTI U18 CECAFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top