• HABARI MPYA

  Thursday, July 20, 2023

  CHAMA NA NGOMA WAWASILI KAMBINI SIMBA SC UTURUKI


  KIUNGO Mzambia, Clatous Chotta Chama baada ya kuwasili kwenye kambi ya Simba SC mjini Ankara nchini Uturuki kujiunga na wenzake kwa maandalizi ya msimu mpya.

  Clatous Chama amewasili pamoja na mchezaji mpya, kiungo wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Fabrice Luamba Ngoma aliyesajiliwa kutoka Al Hilal ya Sudan.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA NA NGOMA WAWASILI KAMBINI SIMBA SC UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top