• HABARI MPYA

  Wednesday, July 12, 2023

  YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI JONÁS MKUDE KUTUA JANGWANI  KLABU ya Yanga imemtambulisha kiungo mkongwe, Jonás Gerald Mkude kutoka Simba SC kuwa mchezaji wake mpya wa tatu baada ya mabeki, Nickson Kibabage kutoka Singida Fountain Gate na Gift Fred kutoka SC Villa ya kwao, Uganda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI JONÁS MKUDE KUTUA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top