• HABARI MPYA

  Tuesday, July 11, 2023

  KIKOSI CHA SIMBA KIMETUA MUSCAT WATALALA HADI KESHO


  KIKOSI cha kilichoondoka Dar es Salaam leo jioni kimewasili Jijini Muscat nchini Omán ambako wachezaji watalala hadi asubuhi kabla ya kuunganisha ndege kwenda Uturuki watakapoweka kambi ya wiki tatu kujiandaa na msimu mpya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA KIMETUA MUSCAT WATALALA HADI KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top