• HABARI MPYA

  Tuesday, July 18, 2023

  MMOROCCO NDIYE KOCHA MPYA WA FIZIKI YANGA SC


  KOCHA mpya mkuu wa Yanga, Muargentina Miguel Ángel Gamondi (kushoto) na Mtendaji Mkuu, Mzambia Andre Mtine (kulia) wakimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Taibi Lagrouni (50) baada ya kuajiriwa kuwa Kocha wa Fiziki kutoka klabu ya Hassania ya kwao, Morocco.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MMOROCCO NDIYE KOCHA MPYA WA FIZIKI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top