• HABARI MPYA

  Monday, July 10, 2023

  SPORTPESA WAIZAWADIA YANGA SC SHILINGI MILIONI 405


  KLABU ya Yanga imezawadiwa Shilingi Milioni 405,000,000 kutoka kwa mdhamini wake mkuu Sport Pesa Tanzania ikiwa ni zawadi kwa kutwaa Ngao ya Jamii, ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) na kufika Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPORTPESA WAIZAWADIA YANGA SC SHILINGI MILIONI 405 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top