• HABARI MPYA

  Tuesday, July 18, 2023

  KUNDI LINGINE LA WACHEZAJI SIMBA LAWASILI KAMBINI UTURUKI


  WACHEZAJI kutoka Cameroon, beki Che Malone Fondoh, mshambuliaji Willy Essomba Onana na mshambuliaji Mkongo Jean Othos Baleke pamoja na Mtaalamu wa Tiba ya Viungo, Wycliff Omom wamewasili kwenye kambi ya Simba SC mjini Ankara nchini Uturuki usiku wa Jumatatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KUNDI LINGINE LA WACHEZAJI SIMBA LAWASILI KAMBINI UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top