• HABARI MPYA

  Wednesday, July 19, 2023

  AZAM FC YACHAPWA 3-0 NA ESPERANCE MECHI YA KIRAFIKI LEO TUNISIA


  TIMU ya Azam FC imechapwa Mabao 3-0 na wenyeji, Esperance katika mchezo wa kirafiki leo kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya nchini Tunisia.
  Mechi ya kwanza ya kujipima nguvu Ijumaa iliyopita, Azam FC iliibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan Jijini Tunis.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YACHAPWA 3-0 NA ESPERANCE MECHI YA KIRAFIKI LEO TUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top