• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2023

  YANGA WAANZA MAZOEZI KUJIANDAA KUIVAA MARUMO GALLANTS


  KIKOSI cha Yanga kimeanza mazoezi leo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni kujiandaa na Nusu Fainali ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini Jumatano Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAANZA MAZOEZI KUJIANDAA KUIVAA MARUMO GALLANTS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top