• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2023

  AZAM FC KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO MTWARA


  WACHEZAJI wa Azam FC katika mazoezi ya mwisho leo kabla ya kumenyana na Simba SC katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kesho Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC KATIKA MAZOEZI YA MWISHO LEO MTWARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top