• HABARI MPYA

  Saturday, May 06, 2023

  SIMBA SC ILIVYOJIFUA LEO MTWARA KABLA YA SHUGHULI YA KESHO


  WACHEZAJI wa Simba SC katika mazoezi ya mwisho leo kabla ya kumenyana na Azam FC katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kesho Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOJIFUA LEO MTWARA KABLA YA SHUGHULI YA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top