• HABARI MPYA

  Thursday, May 04, 2023

  MERIDIABET YATUA BUGURUNI KUFANYA UZINDUZI WA DUKA JIPYA


  Meridianbet kama ilivyo ada wanaendelea kuhakikisha huduma inafika kila eneo ambapo wateja wake wanapatikana, Mapema leo wamefika mitaa ya 
  Buguruni Malapa na kuzindua duka jipya la kisasa kwajili ya michezo yote ya kubashiri kama Mpira wa miguu, Kikapu, Wavu pamoja na michezo ya kasino mitandaoni kama Poker, Roullete, Aviator, na sloti.
  Meridianbet wakongwe wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA wanaendelea kuweka kipaumbele kwa wateja wake kwa kuzindua maduka  sehemu mbalimbali nchini ili kuhakikisha wanakua karibu na wateja wao, Lakini pia machaguzi yao zaidi ya 1000 imekua chachu na kivutio kikubwa kwa wateja.
  Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurluamesema kuwa; “Huu ni mwendelezo wa kuongeza maduka ya kubashiri na kuzidi kuongeza huduma zetu ili kuzidi kuwafikia zaidi wateja wetu. Wafanyabiashara na wajasiriamali wote wa Buguruni Malapa wanakaribishwa sana na wote waliokuwa karibu na Buguruni Malapa.”
  Sub-Heading:
  Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
   
  Unataka ODDS KUBWA? Nenda Buguruni Malapa utakutana na kile ambacho unachokitaka na Meridianbet wanakupa kile amabcho unataka wewe mteja wao, kwani mteja ni mfalme. Lakini pia unaweza Ukaturbo mkeka wako ili kuokoa pesa yako au unataka pesa ya haraka. Yote haya unayakuta hapa hapa Meridianbet.
  Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni na Meridianbet.
  Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.
  Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni. 
  Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.
  Wakazi wa eneo hilo wamefurahishwa sana na ujio wa Meridianbet, na wameshukuru sana kwa kuwafungulia Duka jipya la kubashiria katika eneo hilo na watajiunga na Meridianbet kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi.
   
  Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.


  NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
  #MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MERIDIABET YATUA BUGURUNI KUFANYA UZINDUZI WA DUKA JIPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top