• HABARI MPYA

  Friday, May 05, 2023

  AZAM FC WAWASILI MTWARA KWA SHUGHULI NA SIMBA KESHOKUTWA NANGWANDA


  KIKOSI cha Azam FC kimewasili usiku huu mjini Mtwara tayari kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Simba SC Jumapili Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WAWASILI MTWARA KWA SHUGHULI NA SIMBA KESHOKUTWA NANGWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top